William Ruto, ni miongoni mwa wanasiasa wengi wakubwa nchini Kenya walioweka wazi nia zao za kuingia Ikulu ya Kenya, kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2022, kurithi mikoba ya aliyekuwa 'swahiba wake', ...
Rais anayeondoka madarakani nchini Kenya Uhuru Kenyatta amempatia kongole rais mteule William Ruto kwa mara ya kwanza. Chanzo cha picha, Reuters Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga ...
Akizungumza wakati akiwa mjini Naivasha, Kenyatta amesema kuwa kinyume na anavyosema naibu wake mradi huo hautaathiri namna ambavyo shughuli za bandari ya Mombasa zitakavyokuwa zinaendelezwa. Kwa ...
Uamuzi huu wa rais Ruto unakuja zaidi ya wiki moja, baada ya kukutana na rais mstaafu Uhuru, Disemba 9, kikao ambacho wachambuzi wa siasa nchini Kenya, wanasema kimechangia mabadiliko hayo kwenye ...